Mwananchi Communications LTD BLOG

Ramani mpya ya Tanzania

Print
User Rating:  / 13
PoorBest 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akionyesha ramani mpya  ya Tanzania kwa waandishi wa habari wakati akizungumzia mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, John Haule aliyesimama ni Mkurugenzi  Upimaji na Ramani wa  Wizara ya Ardhi, Dk Selassie Mayunga.Picha na Elizabeth Edward

Comments   

 
-1 #3 Kenny 2012-10-15 13:53
Watanzania tunachemka nimejaribu kupitia Ramani zetu ktk search engine kama GOOGLE nyingi zinaonyesha mpaka ktk ziwa NYASA upo kando kando ya Ziwa badala ya katikati kama wenzet Msumbiji hivi Wahusika walikuwa hawalioni hili? Ndio maana wenzetu huko Wanatulalamikia eti tumebadilisha Ramani
Quote
 
 
0 #2 Anorld 2012-10-14 08:01
Tumezingatia uzalendo?au ndo mambo ya ten percent!
Quote
 
 
0 #1 Tibu Tibe 2012-10-08 17:06
Maoni kwa Mkuu wetu wa nchi na Waziri wa mabo ya nje Mh. Benard Membe.
Tuchukue mfano wa Kenya. Kenya wanaishitaki Uingereza kwa matukio ya ukoloni wao ikiwa ni mateso kwa wananchi n.k.
nadhani ni wakati mwafaka kwa sas kuishitaki Uingereza kwa kukat mipaka kwa maslahi yao walipokuwa wakoloni wa malawi na Tanzania ikiwa chini yao kama protectorate. Walichukua fursa hii kuimega Tanzania na kuipeleka kwa Malawi palipokuwa pao ki-koloni. HOJA: Je kwa kuwanyima wananchi wa Tanzania eneo la maji hawaoni kuwa walikuwa wakiwanyang'any a haki yao ya nyenzo ya maisha (livelihood) waliyopewa na asili?
Je ni jamii gani duniani itakubaliana na hilo? Wakoloni hawa ikubalike kimataifa kuwa walikosea na mpaka stahiki unaowapa haki yao ya kutoka asili wapewe. (No one is supporsed to deny anybody else the naturally given source of her/his livelihood. It is not a national issue, it is a human rights issue at base). Nawakilisha. :-|
Quote
 

Add comment


Security code
Refresh

Wanaoperuzi SASA!

We have 26 guests and no members online

Banner One

Popular Blogs