Mada alised this week

Maghorofa kuporomoka nini kifanyike?

Print
User Rating:  / 0

Siku ya ijumaa kuu tuliona jinsi watanzania wenzetu walivyoangukiwa na ghorofa ambalo lilianguka ghafra na kuwafukia. Serikali imeshamaliza kazi ya uokoaji na kufukua maiti zaidi ya watu 30 wamepoteza maisha na wengine kujetuhiwa.

Kutokana na hali hii kuzidi kuongezeka na kusababisha hasara na kukatisha maisha ya baadhi ya watanzania wenzetu unanadhani nini kifanyike?