Mwananchi Communications LTD BLOG

''Hatutaki watalii!''

Print
User Rating:  / 0
PoorBest 

Wananchi  wanaoishi ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro katika kijiji cha Olbalbal wakiwa kwenye kikao walichokubaliana kuzuia watalii kuingia katika hifadhi hiyo kwa kufunga geti iwapo serikali haitatekeleza matakwa yao. Picha na Mussa juma

Comments   

 
0 #1 Tunataka kilimo tu. 2013-06-27 19:15
NIKWELI KWAMBA WANANCHI WA NGORONGORO WANAHAKI WA KUPEWA KILIMO YA KUJIKIMU. MAANA HAWAJAWAHI KUWARIBU MAZINGIRA YAO TANGU MWAKA WA 59 HADI LEO.JE NI KWANINI SERIKALI YA AWAMU YA NNE IWANYIME WANANNGORONGORO KILIMO YA KUJIKIMU WAKATI SERIKALI ZOTE TAUT WALIRUHUSU KILIMO YA KUJIKIMU KAMA SEHEMU YA KUWASADIA WENYEJI HAO WA SIFE NJAA.
TUNAKA KILIMO TU,HATUTAKI MUSAADA YOYOTE ILE BALI NI KILIMO TU.
Quote
 

Add comment


Security code
Refresh

Wanaoperuzi SASA!

We have 44 guests and no members online

Banner One

Popular Blogs