News video

Uzinduzi wa mtambo MCL

Print
User Rating:  / 7

Vedeo hii ilichukuliwa katika ofisi za Mwananchi zilizopo Tabata relini ambako waziri Mapachu alikwenda kuzindua mtambo na kupanda miti.

Maajabu ya kikombe cha babu

Print
User Rating:  / 7

Maajabu ya kikombe cha babu watu wengi hivi sasa wanahoji maswali mengi kuhusu mali alizopata kutokana na kikombe zimemnufaishaje, Samunge imefaidika vipi na kikombe, mazingira je katika kipindi kile pamoja na hatma ya wagonjwa waliokunywa kikombe?, Kwa maswali zaidi bonyeza hii link Kikombe:Babu:Loliondo:Samunge

Mwananchi Award 2012

Print
User Rating:  / 0

Mwananchi wakitoa zawadi kwa wasomaji wa magazeti. Bahati nasibu hiyo ilitolewa katika ofisi ya Mwananchi hivi ndivyo ilivyochezeshwa.